Ezekiel 31:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wewe mtu! Mwambie hivi Farao mfalme wa Misri na watu wake wote: Wewe wafanana na nini kwa ukuu wako?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwanadamu, mwambie Farao mfalme wa Misri na makundi yake hivi: “ ‘Je, ni nani awezaye kulinganishwa na wewe katika fahari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanadamu, mwambie Farao mfalme wa Misri, na jamii ya watu wake, Je! Umefanana na nani katika ukuu wako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wewe mtu! Mwambie hivi Farao mfalme wa Misri na watu wake wote: Wewe wafanana na nini kwa ukuu wako?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mwanadamu, mwambie Farao mfalme wa Misri na makundi yake ya wajeuri: “ ‘Je, ni nani awezaye kulinganishwa na wewe katika fahari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mwanadamu, mwambie Farao mfalme wa Misri na makundi yake ya wajeuri: “ ‘Je, ni nani awezaye kulinganishwa na wewe katika fahari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanadamu, mwambie Farao mfalme wa Misri, na jamii ya watu wake, Je! Umefanana na nani katika ukuu wako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wewe mtu! Mwambie hivi Farao mfalme wa Misri na watu wake wote: Wewe wafanana na nini kwa ukuu wako?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwana wa mtu, mwambie Farao, mfalme wa Misri, nao watu wake walio wengi: kwa ukuu wako unafanana na nani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanadamu, mwambie Farao mfalme wa Misri, na jamii ya watu wake, Je! Umefanana na nani katika ukuu wako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe mwanadamu! Umwambie Mufalme wa Misri na watu wake wote hivi: Wewe unafanana na nini kwa ukubwa wako?