Ezekiel 31:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe ni kama mwerezi wa Lebanoni wenye matawi mazuri na majani mengi na shina refu. Kilele chake kinafika hata mawinguni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Angalia Ashuru, zamani ulikuwa mwerezi huko Lebanoni, ukiwa na matawi mazuri na kutia msitu kivuli; ulikuwa mrefu sana, kilele chake kilipita majani ya miti yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, Mwashuri alikuwa mwerezi katika Lebanoni, wenye matawi mazuri, na kifuniko chenye uvuli, na kimo kirefu; na kilele chake kilikuwa kati ya matawi mapana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe ni kama mwerezi wa Lebanoni wenye matawi mazuri na majani mengi na shina refu. Kilele chake kinafika hata mawinguni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Angalia Ashuru, wakati fulani ilikuwa mwerezi huko Lebanoni, ukiwa na matawi mazuri ukitia msitu kivuli; ulikuwa mrefu sana, kilele chake kilipita majani ya miti yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Angalia Ashuru, wakati fulani ilikuwa mwerezi huko Lebanoni, ukiwa na matawi mazuri ukitia msitu kivuli; ulikuwa mrefu sana, kilele chake kilipita majani ya miti yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, Mwashuri alikuwa mwerezi katika Lebanoni, wenye matawi mazuri, na kifuniko chenye uvuli, na kimo kirefu; na kilele chake kilikuwa kati ya matawi mapana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe ni kama mwerezi wa Lebanoni wenye matawi mazuri na majani mengi na shina refu. Kilele chake kinafika hata mawinguni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama, Mwasuri alikuwa mwangati wa Libanoni ulio mzuri kwa matawi yake yaliyo yenye majani mengi yenye kivuli, tena ni mrefu kwa kimo chake, kilele chake huyapita majani mengine ya miti iliyoko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, Mwashuri alikuwa mwerezi katika Lebanoni, wenye matawi mazuri, na kifuniko chenye uvuli, na kimo kirefu; na kilele chake kilikuwa kati ya matawi mapana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe ni kama muti wa mwerezi wa Lebanoni wenye matawi mazuri na majani mengi na shina refu. Kilele chake kinafika hata katika mawingu.