Ezekiel 31:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndege wote waliweka viota matawini mwake, chini yake wanyama walizaliwa, mataifa yote makubwa yaliburudika kivulini mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndege wote wa angani wakaweka viota kwenye vitawi vyake, wanyama wote wa shambani wakazaana chini ya matawi yake, mataifa makubwa yote yaliishi chini ya kivuli chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndege wote wa angani walifanya vioto vyao katika vitanzu vyake, na chini ya matawi yake wanyama wote wa kondeni walizaa watoto wao, na chini ya uvuli wake mataifa makuu yote walikaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndege wote waliweka viota matawini mwake, chini yake wanyama walizaliwa, mataifa yote makubwa yaliburudika kivulini mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndege wote wa angani wakaweka viota kwenye vitawi vyake, wanyama wote wa shambani wakazaana chini ya matawi yake, mataifa makubwa yote yaliishi chini ya kivuli chake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndege wote wa angani wakaweka viota kwenye vitawi vyake, wanyama wote wa shambani wakazaana chini ya matawi yake, mataifa makubwa yote yaliishi chini ya kivuli chake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndege wote wa angani walifanya viota vyao katika vitanzu vyake, na chini ya matawi yake wanyama wote wa kondeni walizaa watoto wao, na chini ya uvuli wake mataifa makuu yote walikaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndege wote waliweka viota matawini mwake, chini yake wanyama walizaliwa, mataifa yote makubwa yaliburudika kivulini mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndege wote wa angani walijenga matundu yao katika matawi yake, hapo chini ya machipuko yake wakazaa nyama wo wote wa porini, napo kivulini pake wakakaa mataifa mengi na mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndege wote wa angani walifanya vioto vyao katika vitanzu vyake, na chini ya matawi yake wanyama wote wa kondeni walizaa watoto wao, na chini ya uvuli wake mataifa makuu yote walikaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndege wote waliweka chicha katika matawi yake, nyama wa pori walizalia chini yake, mataifa yote makubwa yalikaa chini ya kivuli chake.