Ezekiel 31:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ulikuwa mzuri kwa ukubwa wake, na kwa urefu wa matawi yake. Mizizi yake ilipenya chini mpaka penye maji mengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulikuwa na fahari katika uzuri, ukiwa na matawi yaliyotanda, kwa kuwa mizizi yake iliteremka hadi kwenye maji mengi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hivyo alikuwa mzuri katika ukuu wake, katika urefu wa matawi yake; maana mizizi yake ilikuwa karibu na maji mengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ulikuwa mzuri kwa ukubwa wake, na kwa urefu wa matawi yake. Mizizi yake ilipenya chini mpaka penye maji mengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulikuwa na fahari katika uzuri, ukiwa na matawi yaliyotanda, kwa kuwa mizizi yake ilikwenda chini mpaka kwenye maji mengi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulikuwa na fahari katika uzuri, ukiwa na matawi yaliyotanda, kwa kuwa mizizi yake ilikwenda chini mpaka kwenye maji mengi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi hivyo alikuwa mzuri katika ukuu wake, katika urefu wa matawi yake; maana mizizi yake ilikuwa karibu na maji mengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ulikuwa mzuri kwa ukubwa wake, na kwa urefu wa matawi yake. Mizizi yake ilipenya chini mpaka penye maji mengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ulikuwa mzuri kwa ukubwa wake na kwa urefu wa matawi yake, kwani mizizi yake iko kwenye maji mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hivyo alikuwa mzuri katika ukuu wake, katika urefu wa matawi yake; maana mizizi yake ilikuwa karibu na maji mengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulikuwa muzuri kwa ukubwa wake, na kwa urefu wa matawi yake. Mizizi yake ilipenya chini mpaka penye maji mengi.