Ezekiel 31:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi niliufanya kuwa mzuri kwa matawi yake mengi; ulionewa wivu na miti yote ya Edeni iliyokuwa katika bustani ya Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niliufanya kuwa mzuri, ukiwa na matawi mengi; nao ulionewa wivu na miti yote ya Edeni katika bustani ya Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalimfanya kuwa mzuri kwa wingi wa matawi yake; hata miti yote ya Adeni, iliyokuwa ndani ya bustani ya Mungu, ilimwonea wivu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi niliufanya kuwa mzuri kwa matawi yake mengi; ulionewa wivu na miti yote ya Edeni iliyokuwa katika bustani ya Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niliufanya kuwa mzuri ukiwa na matawi mengi, ulionewa wivu na miti yote ya Edeni katika bustani ya Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niliufanya kuwa mzuri ukiwa na matawi mengi, ulionewa wivu na miti yote ya Edeni katika bustani ya Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilimfanya kuwa mzuri kwa wingi wa matawi yake; hata miti yote ya Edeni, iliyokuwa ndani ya bustani ya Mungu, ilimwonea wivu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi niliufanya kuwa mzuri kwa matawi yake mengi; ulionewa wivu na miti yote ya Edeni iliyokuwa katika bustani ya Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niliutengeneza kuwa mzuri kwa wingi wa matawi yake, kwa hiyo miti iliyoko Edeni bustanini kwake Mungu iliuonea wivu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalimfanya kuwa mzuri kwa wingi wa matawi yake; hata miti yote ya Adeni, iliyokuwa ndani ya bustani ya Mungu, ilimwonea wivu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi niliufanya kuwa muzuri kwa matawi yake mengi; ulionewa wivu na miti yote ya Edeni iliyokuwa katika bustani ya Mungu.