Ezekiel 32:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa maana, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Upanga wa mfalme wa Babuloni utakufuatia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: “ ‘Upanga wa mfalme wa Babeli utakuja dhidi yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Bwana MUNGU asema hivi; Upanga wa mfalme wa Babeli utakujilia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa maana, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Upanga wa mfalme wa Babuloni utakufuatia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kwa kuwa hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: “ ‘Upanga wa mfalme wa Babeli utakuja dhidi yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kwa kuwa hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: “ ‘Upanga wa mfalme wa Babeli utakuja dhidi yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana Bwana MUNGU asema hivi; Upanga wa mfalme wa Babeli utakujia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa maana, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Upanga wa mfalme wa Babuloni utakufuatia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyosema: Upanga wa mfalme wa Babeli utakujia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana Bwana MUNGU asema hivi; Upanga wa mfalme wa Babeli utakujilia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana, Bwana wetu Yawe anasema hivi: Upanga wa mufalme wa Babeli utakufuatilia.