Ezekiel 32:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitaiangamiza mifugo yako yote kando ya mto Nili. Maji yake hayatavurugwa tena na mtu wala kwato za mnyama kuyachafua tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaangamiza mifugo yake yote wanaojilisha kando ya maji mengi: hayatavurugwa tena kwa mguu wa mwanadamu wala kwato za mnyama hazitayachafua tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena nitawaharibu wanyama wake wote, toka kando ya maji mengi; na mguu wa mwanadamu hautayatibua tena, wala kwato za mnyama hazitayatibua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitaiangamiza mifugo yako yote kando ya mto Nili. Maji yake hayatavurugwa tena na mtu wala kwato za mnyama kuyachafua tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitaangamiza mifugo yake yote wanaojilisha kando ya maji mengi, hayatavurugwa tena kwa mguu wa mwanadamu wala kwato za mnyama hazitayachafua tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaangamiza mifugo yake yote wanaojilisha kando ya maji mengi, hayatavurugwa tena kwa mguu wa mwanadamu wala kwato za mnyama hazitayachafua tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena nitawaangamizia mifugo yake yote, toka kando ya maji mengi; na mguu wa mwanadamu hautayatibua tena, wala kwato za mnyama hazitayatibua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitaiangamiza mifugo yako yote kando ya mto Nili. Maji yake hayatavurugwa tena na mtu wala kwato za mnyama kuyachafua tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao nyama wao wote nitawatowesha kwenye yale maji mengi, mguu wa mtu usiyachafue tena, wala nyama asiyachafue kwa kuyavurugavuruga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena nitawaharibu wanyama wake wote, toka kando ya maji mengi; na mguu wa mwanadamu hautayatibua tena, wala kwato za mnyama hazitayatibua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawaangamiza nyama wako wote pembeni ya muto Nili. Maji yake hayatavurugwa tena na mutu wala kwato za nyama kuyachafua tena.