Ezekiel 32:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya kumi na tano ya mwezi wa kwanza, mwaka wa kumi na mbili tangu kuhamishwa kwetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika mwaka wa kumi na mbili, mwezi wa kwanza, siku ya kumi na tano ya mwezi, neno la Mwenyezi Mungu likanijia kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa katika mwaka wa kumi na mbili, siku ya kumi na tano ya mwezi, neno la Bwana likanijia kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya kumi na tano ya mwezi wa kwanza, mwaka wa kumi na mbili tangu kuhamishwa kwetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika mwaka wa kumi na mbili, mwezi wa kwanza, siku ya kumi na tano ya mwezi, neno la BWANA likanijia kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika mwaka wa kumi na mbili, mwezi wa kwanza, siku ya kumi na tano ya mwezi, neno la bwana likanijia kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa katika mwaka wa kumi na mbili, siku ya kumi na tano ya mwezi, neno la BWANA likanijia kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya kumi na tano ya mwezi wa kwanza, mwaka wa kumi na mbili tangu kuhamishwa kwetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa katika mwaka wa 12 siku ya kumi na tano ya mwezi, ndipo, neno la Bwana liliponijia la kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa katika mwaka wa kumi na mbili, siku ya kumi na tano ya mwezi, neno la BWANA likanijia kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya kumi na tano ya mwezi wa kwanza, mwaka wa kumi na mbili tangu tulipopelekwa katika uhamisho, neno la Yawe lilinifikia kusema hivi: