Ezekiel 32:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waambie: Nyinyi ni wazuri kuliko nani? Nendeni kuzimu mlazwe pamoja na wasiomjua Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, ninyi mmekubalika zaidi ya wengine? Shukeni chini! Nanyi mkalazwe pamoja na hao wasiotahiriwa!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umemshinda nani kwa uzuri? Shuka, ukalazwe pamoja na wasiotahiriwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waambie: Nyinyi ni wazuri kuliko nani? Nendeni kuzimu mlazwe pamoja na wasiomjua Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, ninyi mnamzidi nani kwa uzuri? Shukeni chini! Nanyi mkalazwe pamoja na hao wasio tahiriwa!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, ninyi mnamzidi nani kwa uzuri? Shukeni chini! Nanyi mkalazwe pamoja na hao wasiotahiriwa!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umemshinda nani kwa uzuri? Shuka, ukalazwe pamoja na wasiotahiriwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waambie: Nyinyi ni wazuri kuliko nani? Nendeni kuzimu mlazwe pamoja na wasiomjua Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unampita nani kwa uzuri? Shuka tu, ulazwe kwao wasiotahiriwa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umemshinda nani kwa uzuri? Shuka, ukalazwe pamoja na wasiotahiriwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaambie: Ninyi ni wazuri kuliko nani? Muende kuzimu mulalishwe pamoja na wasiomujua Mungu!