Ezekiel 32:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Misri wataangamia pamoja na watu waliouawa vitani. Upanga uko tayari kuangamiza Misri pamoja na watu wake wengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wataanguka miongoni mwa wale waliouawa kwa upanga. Upanga umefutwa; mwache aburutwe mbali pamoja na hao watu wake wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wataanguka kati ya watu waliouawa kwa upanga; ametokwa apigwe na upanga; mvuteni aende mbali pamoja na watu wake wote jamii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Misri wataangamia pamoja na watu waliouawa vitani. Upanga uko tayari kuangamiza Misri pamoja na watu wake wengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wataanguka miongoni mwa wale waliouawa kwa upanga. Upanga umefutwa, mwache aburutwe mbali pamoja na hao wajeuri wake wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wataanguka miongoni mwa wale waliouawa kwa upanga. Upanga umefutwa, mwache aburutwe mbali pamoja na hao wajeuri wake wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wataanguka kati ya watu waliouawa kwa upanga; ametolewa apigwe na upanga; mvuteni aende mbali pamoja na watu wake wote jamii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Misri wataangamia pamoja na watu waliouawa vitani. Upanga uko tayari kuangamiza Misri pamoja na watu wake wengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wataanguka katikati yao waliouawa kwa panga; panga za kuwaua zimekwisha tolewa; ivuteni hiyo nchi pamoja na watu wake wote walio wengi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wataanguka kati ya watu waliouawa kwa upanga; ametokwa apigwe na upanga; mvuteni aende mbali pamoja na watu wake wote jamii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wamisri wataangamia pamoja na watu waliouawa katika vita. Upanga uko tayari kuangamiza Misri pamoja na watu wake wengi.