Ezekiel 32:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakuu wenye nguvu pamoja na wasaidizi wao wakiwa huko shimoni kwa wafu watasema hivi: ‘Wamisri wameshuka chini kwa wafu, wanalala pamoja na watu wasiomjua Mungu, waliouawa vitani.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka Kuzimu viongozi hodari watanena kuhusu Misri pamoja na wale walioungana nao, ‘Wameshuka chini, nao wamelala kimya pamoja na hao wasiotahiriwa, pamoja na wale waliouawa kwa upanga.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walio hodari watasema naye, toka kati ya kuzimu pamoja nao wamsaidiao; wameshuka wamelala kimya, hata wasiotahiriwa, hali wameuawa kwa upanga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakuu wenye nguvu pamoja na wasaidizi wao wakiwa huko shimoni kwa wafu watasema hivi: ‘Wamisri wameshuka chini kwa wafu, wanalala pamoja na watu wasiomjua Mungu, waliouawa vitani.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka Kuzimu viongozi hodari watanena kuhusu Misri pamoja na wale walioungana nao, ‘Wameshuka chini nao wamelala kimya pamoja na hao wasiotahiriwa, pamoja na wale waliouawa kwa upanga.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka kuzimu viongozi hodari watanena kuhusu Misri pamoja na wale walioungana nao, ‘Wameshuka chini, nao wamelala kimya pamoja na hao wasiotahiriwa, pamoja na wale waliouawa kwa upanga.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walio hodari watasema naye, kutoka huko kuzimu pamoja nao wamsaidiao; wameshuka wamelala kimya, hata wasiotahiriwa, wakiwa wameuawa kwa upanga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakuu wenye nguvu pamoja na wasaidizi wao wakiwa huko shimoni kwa wafu watasema hivi: ‘Wamisri wameshuka chini kwa wafu, wanalala pamoja na watu wasiomjua Mungu, waliouawa vitani.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wapiga vita wenye nguvu walioko kuzimuni watakapomwambia yeye nao waliomsaidia: Wameshuka kulala hawa wasiotahiriwa waliouawa kwa panga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walio hodari watasema naye, toka kati ya kuzimu pamoja nao wamsaidiao; wameshuka wamelala kimya, hata wasiotahiriwa, hali wameuawa kwa upanga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa wenye nguvu pamoja na wasaidizi wao wakiwa huko katika shimo kwa wafu watasema hivi: Wamisri wameshuka chini kwa wafu, wanalala pamoja na watu wasiomujua Mungu, waliouawa katika vita.