Ezekiel 32:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Waashuru wako huko, wamezungukwa na makaburi ya wanajeshi wao. Wote waliuawa vitani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ashuru yuko huko pamoja na jeshi lake lote, amezungukwa na makaburi ya watu wake wote waliouawa, wale wote walioanguka kwa upanga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ashuru yuko huko, na watu wake wote jamii; makaburi yake yamzunguka; wote pia wameuawa, wameanguka kwa upanga,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Waashuru wako huko, wamezungukwa na makaburi ya wanajeshi wao. Wote waliuawa vitani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ashuru yuko huko pamoja na jeshi lake lote, amezungukwa na makaburi ya watu wake wote waliouawa, wale wote walioanguka kwa upanga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ashuru yuko huko pamoja na jeshi lake lote, amezungukwa na makaburi ya watu wake wote waliouawa, wale wote walioanguka kwa upanga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ashuru yuko huko, na watu wake umati wote; makaburi yake yamzunguka; wote pia wameuawa, wameanguka kwa upanga,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Waashuru wako huko, wamezungukwa na makaburi ya wanajeshi wao. Wote waliuawa vitani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wako Waasuri na makundi yao yote ya watu, makaburi yao yanapazunguka pale po pote, wote wamekufa kwa kuumia wakiangushwa kwa panga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ashuru yuko huko, na watu wake wote jamii; makaburi yake yamzunguka; wote pia wameuawa, wameanguka kwa upanga,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Asuria iko huko. Makaburi ya waaskari wake yanaizunguka. Wote waliuawa katika vita.