Ezekiel 32:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na makaburi yao yako sehemu za chini kabisa shimoni kwa wafu. Wanajeshi wao wote waliuawa vitani na makaburi yao yamewazunguka. Hapo awali, walipokuwa wanaishi bado, walieneza vitisho vyao katika nchi ya walio hai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makaburi yao yako kwenye kina cha chini cha shimo na jeshi lake limelala kulizunguka kaburi lake. Wote waliokuwa wameeneza hofu kuu katika nchi ya walio hai wameuawa, wameanguka kwa upanga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ambao makaburi yao yamewekwa pande za shimo zilizo mbali sana, wote jamii wamezunguka kaburi lake; wote pia wameuawa, wameanguka kwa upanga, waliofanya utisho katika nchi yao walio hai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na makaburi yao yako sehemu za chini kabisa shimoni kwa wafu. Wanajeshi wao wote waliuawa vitani na makaburi yao yamewazunguka. Hapo awali, walipokuwa wanaishi bado, walieneza vitisho vyao katika nchi ya walio hai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Makaburi yao yako kwenye kina cha chini cha shimo na jeshi lake limelala kulizunguka kaburi lake. Wote waliokuwa wameeneza hofu kuu katika nchi ya walio hai wameuawa, wameanguka kwa upanga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makaburi yao yako kwenye kina cha chini cha shimo na jeshi lake limelala kulizunguka kaburi lake. Wote waliokuwa wameeneza hofu kuu katika nchi ya walio hai wameuawa, wameanguka kwa upanga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ambao makaburi yao yamewekwa pande za shimo zilizo mbali sana, umati wote wamezunguka kaburi lake; wote pia wameuawa, wameanguka kwa upanga, waliotisha katika nchi yao walio hai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na makaburi yao yako sehemu za chini kabisa shimoni kwa wafu. Wanajeshi wao wote waliuawa vitani na makaburi yao yamewazunguka. Hapo awali, walipokuwa wanaishi bado, walieneza vitisho vyao katika nchi ya walio hai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamepata makaburi yao kuzimuni pembeni, nayo makundi yao ya watu yanayazunguka makaburi yao wenyewe; hao wote wamekufa kwa kuumia wakiangushwa kwa panga; nao ndio waliostusha watu wakubwa katika nchi yao walio hai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambao makaburi yao yamewekwa pande za shimo zilizo mbali sana, wote jamii wamezunguka kaburi lake; wote pia wameuawa, wameanguka kwa upanga, waliofanya utisho katika nchi yao walio hai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makaburi yao yako sehemu za chini kabisa katika shimo kwa wafu. Waaskari wao wanaizunguka. Wote waliuawa katika vita. Walipokuwa wangali wanaishi, walieneza vitisho vyao katika inchi ya wanaokuwa wazima.