Ezekiel 32:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakutupa juu ya nchi kavu, nitakubwaga uwanjani, nitawafanya ndege wote watue juu yako, na kuwashibisha wanyama wote wa porini kwa mwili wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakutupa nchi kavu na kukuvurumisha uwanjani. Nitawafanya ndege wote wa angani watue juu yako na wanyama wote wa nchi watajishibisha nyama yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitakuacha juu ya nchi kavu, nitakutupa juu ya uso wa uwanda, nami nitawaleta ndege wote wa angani watue juu yako, nami nitawashibisha wanyama wa dunia yote kwako wewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakutupa juu ya nchi kavu, nitakubwaga uwanjani, nitawafanya ndege wote watue juu yako, na kuwashibisha wanyama wote wa porini kwa mwili wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakutupa nchi kavu na kukuvurumisha uwanjani. Nitawafanya ndege wote wa angani watue juu yako na wanyama wote wa nchi watajishibisha nyama yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakutupa nchi kavu na kukuvurumisha uwanjani. Nitawafanya ndege wote wa angani watue juu yako na wanyama wote wa nchi watajishibisha nyama yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitakuacha juu ya nchi kavu, nitakutupa juu ya uso wa uwanda, nami nitawaleta ndege wote wa angani watue juu yako, nami nitawashibisha wanyama wa dunia yote kwako wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakutupa juu ya nchi kavu, nitakubwaga uwanjani, nitawafanya ndege wote watue juu yako, na kuwashibisha wanyama wote wa porini kwa mwili wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nitakuacha hapo penye nchi kavu nikikutupa porini; kisha nitaleta ndege wa angani wote, wakukalie, nao nyama wote wa nchi hiyo nitawashibisha kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitakuacha juu ya nchi kavu, nitakutupa juu ya uso wa uwanda, nami nitawaleta ndege wote wa angani watue juu yako, nami nitawashibisha wanyama wa dunia yote kwako wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakutupa juu ya inchi kavu, nitakutupa chini juu ya uwanja, nitaleta ndege wote watue juu yako, na kuwashibisha nyama wote wa pori kwa mwili wako.