Ezekiel 32:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitatawanya nyama yako milimani, na kujaza mabonde yote mzoga wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitatawanya nyama yako juu ya milima na kujaza mabonde kwa mabaki yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitaweka nyama yako juu ya milima, na kuyajaza mabonde kwa urefu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitatawanya nyama yako milimani, na kujaza mabonde yote mzoga wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitatapanya nyama yako juu ya milima na kujaza mabonde kwa mabaki yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitatawanya nyama yako juu ya milima na kujaza mabonde kwa mabaki yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitaweka nyama yako juu ya milima, na kuyajaza mabonde kwa urefu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitatawanya nyama yako milimani, na kujaza mabonde yote mzoga wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata milimani juu nitazipeleka nyama za mwili wako, nayo mabonde nitayajaza uvundo wa kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitaweka nyama yako juu ya milima, na kuyajaza mabonde kwa urefu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitasambaza nyama yako juu ya milima, na kujaza mabonde yote muzoga wako.