Ezekiel 32:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nitaihuzunisha mioyo ya watu wengi, nitakapokupeleka utumwani kati ya mataifa, katika nchi ambazo huzijua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaifadhaisha mioyo ya mataifa mengi nitakapokuangamiza miongoni mwa mataifa, nikikuleta uhamishoni miongoni mwa nchi ambazo hujapata kuzijua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena nitawakasirisha watu wengi mioyo yao, nitakapoleta uangamivu wako kati ya mataifa, uingie katika nchi ambazo hukuzijua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nitaihuzunisha mioyo ya watu wengi, nitakapokupeleka utumwani kati ya mataifa, katika nchi ambazo huzijua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitaifadhaisha mioyo ya mataifa mengi nitakapokuangamiza miongoni mwa mataifa, nikikuleta uhamishoni miongoni mwa nchi ambazo haujapata kuzijua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaifadhaisha mioyo ya mataifa mengi nitakapokuangamiza miongoni mwa mataifa, nikikuleta uhamishoni miongoni mwa nchi ambazo haujapata kuzijua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena nitawakasirisha watu wengi mioyo yao, nitakapoleta uangamivu wako kati ya mataifa, uingie katika nchi ambazo hukuzijua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nitaihuzunisha mioyo ya watu wengi, nitakapokupeleka utumwani kati ya mataifa, katika nchi ambazo huzijua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nitasikitisha mioyo ya watu wa makabila mengi, nitakapopeleka habari za kuvunjwa kwako kwa mataifa katika nchi, usizozijua wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena nitawakasirisha watu wengi mioyo yao, nitakapoleta uangamivu wako kati ya mataifa, uingie katika nchi ambazo hukuzijua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitaihuzunisha mioyo ya watu wengi, nitakapokupeleka katika utumwa kati ya mataifa, katika inchi ambazo hauzijui.