Ezekiel 33:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena, nikimwambia mtu mwovu kuwa hakika atakufa naye akaiacha dhambi yake, akaanza kutenda yaliyo ya haki na sawa, hatakufa;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami nikimwambia mtu mwovu, ‘Hakika utakufa,’ kisha akageuka kutoka dhambi yake na kufanya lile lililo haki na sawa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, nimwambiapo mtu mwovu, Hakika utakufa; kama akighairi, na kuiacha dhambi yake, na kutenda yaliyo halali na haki;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena, nikimwambia mtu mwovu kuwa hakika atakufa naye akaiacha dhambi yake, akaanza kutenda yaliyo ya haki na sawa, hatakufa;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami kama nikimwambia mtu mwovu, ‘Hakika utakufa,’ kisha akageuka kutoka katika dhambi yake na kufanya lile lililo haki na sawa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami kama nikimwambia mtu mwovu, ‘Hakika utakufa,’ kisha akageuka kutoka dhambi yake na kufanya lile lililo haki na sawa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, japo ninamwambia mtu mwovu, Hakika utakufa; kama akighairi, na kuiacha dhambi yake, na kutenda yaliyo halali na haki;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena, nikimwambia mtu mwovu kuwa hakika atakufa naye akaiacha dhambi yake, akaanza kutenda yaliyo ya haki na sawa, hatakufa;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena nikimwambia asiyenicha: Utakufa kabisa, naye akirudi na kuyaacha makosa yake, afanye yaliyo sawa yaongokayo:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, nimwambiapo mtu mwovu, Hakika utakufa; kama akighairi, na kuiacha dhambi yake, na kutenda yaliyo halali na haki;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena, nikimwambia mutu mwovu kwamba hakika atakufa naye akiacha zambi yake, akianza kutenda mambo yanayokuwa ya haki na sawa, hatakufa.