Ezekiel 33:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kama akirudisha rehani na kurudisha alichoiba, akafuata kanuni ziletazo uhai bila kutenda uovu, mtu huyo hakika ataishi; hatakufa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama akirudisha kile alichochukua rehani kwa ajili ya deni, akarudisha alichoiba na kufuata amri zile ziletazo uzima, wala hafanyi uovu, hakika ataishi, hatakufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kama mtu mwovu akirudisha rehani, na kumrudishia mtu mali yake aliyomnyang'anya, akizifuata sheria za uzima, asitende uovu wo wote; hakika ataishi, hatakufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kama akirudisha rehani na kurudisha alichoiba, akafuata kanuni ziletazo uhai bila kutenda uovu, mtu huyo hakika ataishi; hatakufa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama akirudisha kile alichochukuwa rehani kwa ajili ya deni, akarudisha alichoiba na kufuata amri zile ziletazo uzima, wala hafanyi uovu, hakika ataishi, hatakufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama akirudisha kile alichochukua rehani kwa ajili ya deni, akarudisha alichoiba na kufuata amri zile ziletazo uzima, wala hafanyi uovu, hakika ataishi, hatakufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kama mtu mwovu akirudisha rehani, na kumrudishia mtu mali yake aliyomnyang'anya, akizifuata sheria za uzima, asitende uovu wowote; hakika ataishi, hatakufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kama akirudisha rehani na kurudisha alichoiba, akafuata kanuni ziletazo uhai bila kutenda uovu, mtu huyo hakika ataishi; hatakufa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
yeye asiyenicha akirudisha aliyopewa ya kumwekea mtu, akilipa aliyoyanyang'anya watu, akiyafuata maongozi ya wenye uzima, basi, naye ataupata uzima wa kweli, asife kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kama mtu mwovu akirudisha rehani, na kumrudishia mtu mali yake aliyomnyang’anya, akizifuata sheria za uzima, asitende uovu wo wote; hakika ataishi, hatakufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama akirudisha rehani na kurudisha kitu alichoiba, akifuata masharti yanayoleta uzima bila kutenda uovu, mutu huyo hakika ataishi. Hatakufa.