Ezekiel 33:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Dhambi zake zote alizotenda hapo awali hazitakumbukwa; yeye ametenda yaliyo ya haki na mema; kwa hiyo hakika ataishi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna dhambi yoyote aliyoitenda itakayokumbukwa juu yake. Ametenda lile lililo haki na sawa, hakika ataishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika dhambi zake zote alizozitenda, hata mojawapo haitakumbukwa juu yake; ametenda yaliyo halali na haki; hakika ataishi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Dhambi zake zote alizotenda hapo awali hazitakumbukwa; yeye ametenda yaliyo ya haki na mema; kwa hiyo hakika ataishi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna dhambi yo yote aliyoitenda itakayokumbukwa juu yake. Ametenda lile lililo haki na sawa, hakika ataishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna dhambi yoyote aliyoitenda itakayokumbukwa juu yake. Ametenda lile lililo haki na sawa, hakika ataishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika dhambi zake zote alizozitenda, hata mojawapo haitakumbukwa juu yake; ametenda yaliyo halali na haki; hakika ataishi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Dhambi zake zote alizotenda hapo awali hazitakumbukwa; yeye ametenda yaliyo ya haki na mema; kwa hiyo hakika ataishi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Makosa yake yote, aliyoyakosa, hayatakumbukwa tena; kwa kuwa amefanya yaliyo sawa yaongokayo, ataupata uzima wa kweli.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika dhambi zake zote alizozitenda, hata mojawapo haitakumbukwa juu yake; ametenda yaliyo halali na haki; hakika ataishi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zambi zake zote alizotenda hapo mbele hazitakumbukwa; yeye ametenda mambo yanayokuwa ya haki na mema, kwa hiyo hakika ataishi.