Ezekiel 33:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini wananchi wenzako wasema ati: ‘Anachofanya Mwenyezi-Mungu si sawa!’ Kumbe kwa kweli wao ndio hawafanyi kilicho sawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini watu wako wanasema, ‘Njia ya Bwana si sawa.’ Lakini ni njia zao ambazo si sawa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini wana wa watu wako husema, Njia ya Bwana si sawa; lakini watu hao, njia yao si sawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini wananchi wenzako wasema ati: ‘Anachofanya Mwenyezi-Mungu si sawa!’ Kumbe kwa kweli wao ndio hawafanyi kilicho sawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini watu wako wanasema, ‘Njia ya Bwana si sawa.’ Lakini ni njia zao ambazo si sawa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini watu wako wanasema, ‘Njia ya Bwana si sawa.’ Lakini ni njia zao ambazo si sawa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walakini wana wa watu wako husema, Njia ya Bwana si sawa; lakini watu hao, njia yao si sawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini wananchi wenzako wasema ati: ‘Anachofanya Mwenyezi-Mungu si sawa!’ Kumbe kwa kweli wao ndio hawafanyi kilicho sawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa ukoo wako husema: Njia ya Bwana hainyoki, lakini njia yao ndiyo isiyonyoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini wana wa watu wako husema, Njia ya Bwana si sawa; lakini watu hao, njia yao si sawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanainchi wenzako wanasema: Kitu anachofanya Yawe si sawa! Lakini ni wao ndio hawafanyi kitu kinachokuwa sawa.