Ezekiel 33:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu mwadilifu akiacha uadilifu wake, akaanza kutenda uovu, atakufa kwa sababu ya uovu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mtu mwenye haki akigeuka kutoka uadilifu wake na kufanya uovu, atakufa kwa ajili ya huo uovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwenye haki ageukapo, na kuiacha haki yake, na kutenda maovu, atakufa katika maovu hayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu mwadilifu akiacha uadilifu wake, akaanza kutenda uovu, atakufa kwa sababu ya uovu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mtu mwenye haki akigeuka kutoka katika uadilifu wake na kufanya uovu, atakufa kwa ajili ya huo uovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mtu mwenye haki akigeuka kutoka uadilifu wake na kufanya uovu, atakufa kwa ajili ya huo uovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenye haki ageukapo, na kuiacha haki yake, na kutenda maovu, atakufa katika maovu hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu mwadilifu akiacha uadilifu wake, akaanza kutenda uovu, atakufa kwa sababu ya uovu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwongufu akirudi na kuuacha wongofu wake, afanye mapotovu, atakufa kwa ajili yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwenye haki ageukapo, na kuiacha haki yake, na kutenda maovu, atakufa katika maovu hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu wa haki akiacha haki yake, akianza kutenda uovu, atakufa kwa sababu ya uovu wake.