Ezekiel 33:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na mtu mwovu akiacha uovu wake, akaanza kutenda mambo ya haki na mema ataishi kwa sababu ya matendo yake mema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye mtu mwovu akigeuka kutoka uovu wake na kufanya lile lililo haki na sawa, kwa kufanya hivyo ataishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mtu mbaya ageukapo, na kuuacha ubaya wake, na kutenda yaliyo halali na haki, ataishi kwa matendo hayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na mtu mwovu akiacha uovu wake, akaanza kutenda mambo ya haki na mema ataishi kwa sababu ya matendo yake mema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye mtu mwovu kama akigeuka kutoka katika uovu wake na kufanya lile lililo haki na sawa, kwa kufanya hivyo ataishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye mtu mwovu kama akigeuka kutoka uovu wake na kufanya lile lililo haki na sawa, kwa kufanya hivyo ataishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mtu mbaya ageukapo, na kuuacha ubaya wake, na kutenda yaliyo halali na haki, ataishi kwa matendo hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na mtu mwovu akiacha uovu wake, akaanza kutenda mambo ya haki na mema ataishi kwa sababu ya matendo yake mema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena asiyemcha Mungu akirudi, aje kumcha Mungu, afanye yaliyo sawa yaongokayo, basi, yeye atapata uzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mtu mbaya ageukapo, na kuuacha ubaya wake, na kutenda yaliyo halali na haki, ataishi kwa matendo hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na mutu mwovu akiacha uovu wake, akianza kutenda mambo ya haki na mema ataishi kwa sababu ya matendo yake mema.