Ezekiel 33:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati alipofika huyo mtu ilikuwa asubuhi kumbe jana yake jioni mimi nilisikia uzito wa nguvu yake Mwenyezi-Mungu. Basi, huyo mkimbizi alipowasili kwangu kesho yake asubuhi, nikaacha kuwa bubu, nikaanza kuongea tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi jioni kabla mtu huyo hajaja, mkono wa Mwenyezi Mungu ulikuwa juu yangu, naye alifungua kinywa changu kabla ya mtu yule aliyenijia asubuhi hajafika. Basi kinywa changu kilifunguliwa na sikuweza tena kunyamaza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mkono wa Bwana umekuwa juu yangu wakati wa jioni, kabla hajafika yeye aliyetoroka; naye alikuwa amenifumbua kinywa changu, hata aliponijia wakati wa asubuhi; na kinywa changu kilikuwa wazi, wala sikuwa bubu tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati alipofika huyo mtu ilikuwa asubuhi kumbe jana yake jioni mimi nilisikia uzito wa nguvu yake Mwenyezi-Mungu. Basi, huyo mkimbizi alipowasili kwangu kesho yake asubuhi, nikaacha kuwa bubu, nikaanza kuongea tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi jioni kabla mtu huyo hajaja, mkono wa BWANA, ulikuwa juu yangu, naye alifungua kinywa changu kabla ya mtu yule aliyenijia asubuhi hajafika. Basi kinywa changu kilifunguliwa na sikuweza tena kunyamaza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi jioni kabla mtu huyo hajaja, mkono wa bwana, ulikuwa juu yangu, naye alifungua kinywa changu kabla ya mtu yule aliyenijia asubuhi hajafika. Basi kinywa changu kilifunguliwa na sikuweza tena kunyamaza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mkono wa Bwana umekuwa juu yangu wakati wa jioni, kabla hajafika yeye aliyetoroka; naye alikuwa amenifumbua kinywa changu, hata aliponijia wakati wa asubuhi; na kinywa changu kilikuwa wazi, wala sikuwa bubu tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati alipofika huyo mtu ilikuwa asubuhi kumbe jana yake jioni mimi nilisikia uzito wa nguvu yake Mwenyezi-Mungu. Basi, huyo mkimbizi alipowasili kwangu kesho yake asubuhi, nikaacha kuwa bubu, nikaanza kuongea tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mkono wake Bwana ulikuwa juu yangu jioni kabla ya kuja kwake yule mtoro, naye alinifumbua kinywa, mpaka yule akinijia asubuhi; ndivyo, nilivyofumbuliwa kinywa, nisiwe tena bubu kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mkono wa Bwana umekuwa juu yangu wakati wa jioni, kabla hajafika yeye aliyetoroka; naye alikuwa amenifumbua kinywa changu, hata aliponijia wakati wa asubuhi; na kinywa changu kilikuwa wazi, wala sikuwa bubu tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati mutu huyo alipofika, ilikuwa asubui. Jana yake magaribi Yawe alikuwa amenijaza uwezo wake nami sikuwa bubu tena, nikaanza kusema.