Ezekiel 33:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mnategemea silaha zenu, mnafanya mambo ya kuchukiza na kila mwanamume miongoni mwenu anatembea na mke wa jirani yake! Je, mnadhani mtapewa nchi hii iwe yenu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mnategemea panga zenu, mnafanya mambo ya machukizo na kila mmoja wenu humnajisi mke wa jirani yake. Je, mtaimiliki nchi?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mnategemea upanga wenu, mnatenda machukizo, mnanajisi kila mtu mke wa jirani yake; je! Mtaimiliki nchi hii?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mnategemea silaha zenu, mnafanya mambo ya kuchukiza na kila mwanamume miongoni mwenu anatembea na mke wa jirani yake! Je, mnadhani mtapewa nchi hii iwe yenu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mnategemea panga zenu, mnafanya mambo ya machukizo na kila mmoja wenu humtia unajisi mke wa jirani yake. Je, mtaimiliki nchi?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mnategemea panga zenu, mnafanya mambo ya machukizo na kila mmoja wenu humtia unajisi mke wa jirani yake. Je, mtaimiliki nchi?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mnategemea upanga wenu, mnatenda machukizo, kila mmoja wenu anamnajisi mke wa jirani yake; je! Mtaimiliki nchi hii?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mnategemea silaha zenu, mnafanya mambo ya kuchukiza na kila mwanamume miongoni mwenu anatembea na mke wa jirani yake! Je, mnadhani mtapewa nchi hii iwe yenu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi hujishikiza kwa panga zenu, hufanaya machukizo mkichafua kila mtu mke wa mweziwe! Je? Hivyo mtaipata nchi hii, iwe yenu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mnategemea upanga wenu, mnatenda machukizo, mnanajisi kila mtu mke wa jirani yake; je! Mtaimiliki nchi hii?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munategemea silaha zenu, munafanya mambo ya kuchukiza na kila mwanaume kati yenu analala na muke wa jirani yake! Munazani kwamba mutapewa inchi hii ikuwe yenu?