Ezekiel 33:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu akisikia sauti ya tarumbeta lakini akapuuza onyo hilo, maadui wakaja na kumuua, yeye mwenyewe atawajibika kwa kifo chake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama mtu yeyote asikiapo sauti ya tarumbeta hatakubali kuonywa, basi upanga ujapo na kuutoa uhai wake, damu yake itakuwa juu ya kichwa chake mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi mtu awaye yote aisikiaye sauti ya tarumbeta, wala haonywi, upanga ukija na kumwondoa, damu yake itakuwa juu ya kichwa chake mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu akisikia sauti ya tarumbeta lakini akapuuza onyo hilo, maadui wakaja na kumuua, yeye mwenyewe atawajibika kwa kifo chake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama mtu ye yote asikiapo sauti ya tarumbeta hakukubali kuonywa, basi upanga ujapo na kuutoa uhai wake, damu yake itakuwa juu ya kichwa chake mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama mtu yeyote asikiapo sauti ya tarumbeta hakukubali kuonywa, basi upanga ujapo na kuutoa uhai wake, damu yake itakuwa juu ya kichwa chake mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi mtu awaye yote aisikiaye sauti ya tarumbeta, wala haonywi, upanga ukija na kumwondoa, damu yake itakuwa juu ya kichwa chake mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu akisikia sauti ya tarumbeta lakini akapuuza onyo hilo, maadui wakaja na kumuua, yeye mwenyewe atawajibika kwa kifo chake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mtu akiisikiliza tu sauti ya baragumu pasipo kuonyeka, panga zitamkamata, nayo damu yake atatwikwa yeye kichwani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi mtu awaye yote aisikiaye sauti ya tarumbeta, wala haonywi, upanga ukija na kumwondoa, damu yake itakuwa juu ya kichwa chake mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu akisikia sauti ya baragumu lakini akizarau onyo hilo, waadui wakikuja na kumwua, yeye mwenyewe atabeba lazima ya kifo chake.