Ezekiel 33:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini ukimwonya mwovu aachane na mwenendo wake, naye haachani na mwenendo wake mbaya, yeye atakufa kwa kosa lake; lakini wewe utakuwa umeyaokoa maisha yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama utamwonya huyo mtu mwovu aache njia zake mbaya naye hafanyi hivyo, atakufa kwa ajili ya dhambi yake, lakini utakuwa umejiokoa mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini ukimwonya mtu mbaya kwa sababu ya njia yake, kusudi aiache; wala yeye asiiache; atakufa huyo katika uovu wake, lakini wewe umejiokoa roho yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini ukimwonya mwovu aachane na mwenendo wake, naye haachani na mwenendo wake mbaya, yeye atakufa kwa kosa lake; lakini wewe utakuwa umeyaokoa maisha yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama utamwonya huyo mtu mwovu aache njia zake mbaya naye hafanyi hivyo, atakufa kwa ajili ya dhambi yake, lakini utakuwa umejiokoa mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama utamwonya huyo mtu mwovu aache njia zake mbaya naye hafanyi hivyo, atakufa kwa ajili ya dhambi yake, lakini utakuwa umejiokoa mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini ukimwonya mtu mbaya kwa sababu ya njia yake, kusudi aiache; wala yeye asiiache; atakufa huyo katika uovu wake, lakini wewe umejiokoa roho yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini ukimwonya mwovu aachane na mwenendo wake, naye haachani na mwenendo wake mbaya, yeye atakufa kwa kosa lake; lakini wewe utakuwa umeyaokoa maisha yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kama wewe ulimwonya asiyenicha kwa ajili ya njia yake na kumwambia, arudi na kuiacha hiyo njia yake, naye asiporudi na kuiacha hiyo njia yake basi, yeye atakufa kwa manza, alizozikora, lakini wewe utakuwa umeiponya roho yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini ukimwonya mtu mbaya kwa sababu ya njia yake, kusudi aiache; wala yeye asiiache; atakufa huyo katika uovu wake, lakini wewe umejiokoa roho yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ukimwonya mwovu aachane na mwenendo wake, naye haachani na mwenendo wake mubaya, yeye atakufa kwa kosa lake; lakini wewe utakuwa umeyaokoa maisha yako.