Ezekiel 34:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Na Nyinyi mlio kundi langu, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitaamua baina ya kondoo na kondoo; baina ya kondoo dume na mbuzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kwenu ninyi, kundi langu, hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: Nitahukumu kati ya kondoo na kondoo, kati ya kondoo dume na mbuzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwa habari zenu, Enyi kundi langu, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nahukumu kati ya mnyama na mnyama, kondoo waume na mbuzi waume pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Na Nyinyi mlio kundi langu, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitaamua baina ya kondoo na kondoo; baina ya kondoo dume na mbuzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kwa habari yenu, enyi kundi langu, hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Nitahukumu kati ya kondoo na kondoo, kati ya kondoo waume na mbuzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kwa habari yenu, enyi kundi langu, hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: Nitahukumu kati ya kondoo na kondoo, kati ya kondoo dume na mbuzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa habari zenu, Enyi kundi langu, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nahukumu kati ya mnyama na mnyama, kondoo dume na mbuzi dume pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Na Nyinyi mlio kundi langu, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitaamua baina ya kondoo na kondoo; baina ya kondoo dume na mbuzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyosema: Ninyi mliomo kundini mwangu mtaniona, nikiwaamua kondoo na kondoo, madume ya kondoo na ya mbuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwa habari zenu, Enyi kundi langu, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nahukumu kati ya mnyama na mnyama, kondoo waume na mbuzi waume pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bwana wetu Yawe anasema hivi: Kwa ninyi munaokuwa kundi langu, nitaamua kati ya kondoo na kondoo; kati ya kondoo dume na mbuzi.