Ezekiel 34:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, kondoo wangu wengine wale malisho yaliyokanyagwakanyagwa na kunywa maji yaliyochafuliwa?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, ni lazima kundi langu wajilishe kwa yale mliyoyakanyaga na kunywa maji mliyoyachafua kwa miguu yenu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwa habari za kondoo zangu, wao wanakula hayo mliyoyakanyaga kwa miguu yenu, nao wanakunywa maji mliyoyatibua kwa miguu yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, kondoo wangu wengine wale malisho yaliyokanyagwakanyagwa na kunywa maji yaliyochafuliwa?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, ni lazima kundi langu wajilishe kwa yale mliyoyakanyaga na kunywa maji mliyoyachafua kwa miguu yenu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, ni lazima kundi langu wajilishe kwa yale mliyoyakanyaga na kunywa maji mliyoyachafua kwa miguu yenu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa habari za kondoo wangu, wao wanakula hayo mliyoyakanyaga kwa miguu yenu, nao wanakunywa maji mliyoyatibua kwa miguu yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, kondoo wangu wengine wale malisho yaliyokanyagwakanyagwa na kunywa maji yaliyochafuliwa?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha kondoo wangu wayalishe yaliyokanyagwakanyagwa na miguu yenu, tena wayanywe, mliyoyavuruga?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwa habari za kondoo zangu, wao wanakula hayo mliyoyakanyaga kwa miguu yenu, nao wanakunywa maji mliyoyatibua kwa miguu yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, kondoo wangu wengine wakule malisho yaliyokanyagwakanyagwa na kunywa maji yaliyochafuliwa?