Ezekiel 34:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mnawasukuma kwa mbavu na kwa mabega na kuwapiga pembe kondoo wote walio dhaifu mpaka mmewatawanya mbali na kundi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu mmewapiga kikumbo na kuwapiga kwa pembe zenu kondoo wote walio dhaifu hadi wakawafukuza,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa mmesukuma kwa ubavu, na kwa mabega, na kuwapiga wenye maradhi kwa pembe zenu, hata mkawatawanyia mbali;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mnawasukuma kwa mbavu na kwa mabega na kuwapiga pembe kondoo wote walio dhaifu mpaka mmewatawanya mbali na kundi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu mmewapiga kikumbo na kuwapiga kwa pembe zenu kondoo wote walio dhaifu mpaka wakawafukuza,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu mmewapiga kikumbo na kuwapiga kwa pembe zenu kondoo wote walio dhaifu mpaka wakawafukuza,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa mmesukuma kwa ubavu, na kwa mabega, na kuwapiga wenye maradhi kwa pembe zenu, hata mkawatawanyia mbali;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mnawasukuma kwa mbavu na kwa mabega na kuwapiga pembe kondoo wote walio dhaifu mpaka mmewatawanya mbali na kundi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa mmewasukuma kwa mbavu na kwa mabega, mkawapiga kwa pembe zenu wote waliougua, mpaka mkiwatawanya huko nje;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa mmesukuma kwa ubavu, na kwa mabega, na kuwapiga wenye maradhi kwa pembe zenu, hata mkawatawanyia mbali;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi munawasukuma kwa mbavu na kwa mabega na kuwapiga pembe kondoo wote wanaokuwa zaifu hata mumewatawanya mbali na kundi.