Ezekiel 34:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mimi nitawaokoa kondoo wangu wasiwe tena mawindo. Nitatoa hukumu juu ya kila kondoo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nitaliokoa kundi langu na hawatatekwa nyara tena. Nitahukumu kati ya kondoo na kondoo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi mimi nitaliokoa kundi langu, wala hawatakuwa mateka tena; nami nitahukumu kati ya mnyama na mnyama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mimi nitawaokoa kondoo wangu wasiwe tena mawindo. Nitatoa hukumu juu ya kila kondoo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nitaliokoa kundi langu na hawatatekwa nyara tena. Nitahukumu kati ya kondoo na kondoo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nitaliokoa kundi langu na hawatatekwa nyara tena. Nitahukumu kati ya kondoo na kondoo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi mimi nitaliokoa kundi langu, wala hawatakuwa mateka tena; nami nitahukumu kati ya mnyama na mnyama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mimi nitawaokoa kondoo wangu wasiwe tena mawindo. Nitatoa hukumu juu ya kila kondoo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa hiyo mimi nitawaokoa kondoo wangu, wasipokonywe tena, nitakapoamua kondoo na kondoo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi mimi nitaliokoa kundi langu, wala hawatakuwa mateka tena; nami nitahukumu kati ya mnyama na mnyama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mimi nitawaokoa kondoo wangu wasiendelee tena kuteswa. Nitatoa hukumu juu ya kila kondoo.