Ezekiel 34:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitafanya nao agano la amani. Nitaondoa wanyama wakali katika nchi, ili kondoo wangu wakae mbugani kwa usalama na kulala msituni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Nitafanya nao agano la amani na kuwaondoa wanyama mwitu kutoka nchi yao ili kondoo wangu waweze kupumzika nyikani na msituni kwa salama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitafanya agano la amani nao, nami nitawakomesha wanyama wakali kati yao; nao watakaa salama jangwani, na kulala misituni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitafanya nao agano la amani. Nitaondoa wanyama wakali katika nchi, ili kondoo wangu wakae mbugani kwa usalama na kulala msituni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Nitafanya nao Agano la amani na kuwaondoa wanyama wa mwitu kutoka katika nchi yao ili kondoo wangu waweze kupumzika nyikani na msituni kwa salama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Nitafanya nao Agano la amani na kuwaondoa wanyama wa mwitu kutoka nchi yao ili kondoo wangu waweze kupumzika nyikani na msituni kwa salama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitafanya agano la amani nao, nami nitawakomesha wanyama wakali kati yao; nao watakaa salama jangwani, na kulala misituni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitafanya nao agano la amani. Nitaondoa wanyama wakali katika nchi, ili kondoo wangu wakae mbugani kwa usalama na kulala msituni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nitakapofanya nao agano la kuwapa utengemano, nitatowesha nyama wabaya wote katika hiyo nchi, wapate kukaa na kutulia hata nyikani, walale usingizi hata msituni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitafanya agano la amani nao, nami nitawakomesha wanyama wakali kati yao; nao watakaa salama jangwani, na kulala misituni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitafanya nao agano la amani. Nitaondoa nyama wakali katika inchi, kusudi kondoo wangu wakae katika mbuga kwa usalama na kulala katika pori.