Ezekiel 34:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawatakuwa tena mawindo ya mataifa mengine wala wanyama wa porini hawatawaua na kuwala. Wataishi kwa usalama na hakuna atakayewatisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawatatekwa tena nyara na mataifa, wala wanyama pori kuwala tena. Wataishi kwa salama, wala hakuna yeyote atakayewatia hofu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hawatakuwa mateka ya makafiri tena, wala mnyama wa nchi hatawala; bali watakaa salama salimini, wala hapana mtu atakayewatia hofu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawatakuwa tena mawindo ya mataifa mengine wala wanyama wa porini hawatawaua na kuwala. Wataishi kwa usalama na hakuna atakayewatisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawatatekwa tena nyara na mataifa, wala wanyama pori hawatawala tena. Wataishi kwa salama, wala hakuna ye yote atakayewatia hofu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawatatekwa tena nyara na mataifa, wala wanyama pori hawatawala tena. Wataishi kwa salama, wala hakuna yeyote atakayewatia hofu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawatakuwa mateka ya mataifa tena, wala mnyama wa nchi hatawala; bali watakaa salama salimini, wala hapana mtu atakayewatia hofu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawatakuwa tena mawindo ya mataifa mengine wala wanyama wa porini hawatawaua na kuwala. Wataishi kwa usalama na hakuna atakayewatisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawatatekwa tena na mataifa, wala hawataliwa na nyama wa nchi hiyo, watakaa salama, hatakuwako atakayewastusha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hawatakuwa mateka ya makafiri tena, wala mnyama wa nchi hatawala; bali watakaa salama salimini, wala hapana mtu atakayewatia hofu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawatakamatwa tena mateka na mataifa mengine wala nyama wa pori hawatawaua na kuwakula. Wataishi kwa usalama na hakuna atakayewatisha.