Ezekiel 34:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mnakunywa maziwa, mnavaa mavazi ya manyoya yao na kondoo wanono mnawachinja na kuwala. Lakini hamwalishi hao kondoo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mnakula mafuta ya wanyama, mnavaa mavazi ya sufu na kuchinja kondoo walionona, lakini hamlitunzi kundi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mnawala walionona, mnajivika manyoya, mnawachinja walionona; lakini hamwalishi kondoo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mnakunywa maziwa, mnavaa mavazi ya manyoya yao na kondoo wanono mnawachinja na kuwala. Lakini hamwalishi hao kondoo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mnakula mafuta ya wanyama, mnavaa mavazi ya sufu na kuchinja kondoo walionona, lakini hamlitunzi kundi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mnakula mafuta ya wanyama, mnavaa mavazi ya sufu na kuchinja kondoo walionona, lakini hamlitunzi kundi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mnawala walionona, mnajivika manyoya, mnawachinja walionona; lakini hamwalishi kondoo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mnakunywa maziwa, mnavaa mavazi ya manyoya yao na kondoo wanono mnawachinja na kuwala. Lakini hamwalishi hao kondoo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninyi hula maziwa yenye mafuta, huvaa nguo za manyoya yao, huchinja walionona, lakini kuchunga hamwachungi kondoo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mnawala walionona, mnajivika manyoya, mnawachinja walionona; lakini hamwalishi kondoo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munakunywa maziwa, munavaa nguo za manyoya yao na munawachinja kondoo wanono na kuwakula. Lakini hamuwakulishi hao kondoo.