Ezekiel 34:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Basi, sikieni vizuri neno langu mimi Mwenyezi-Mungu, enyi wachungaji:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kwa hiyo, ninyi wachungaji, lisikieni neno la Mwenyezi Mungu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, enyi wachungaji, lisikieni neno la Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Basi, sikieni vizuri neno langu mimi Mwenyezi-Mungu, enyi wachungaji:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kwa hiyo, ninyi wachungaji, lisikieni neno la BWANA:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kwa hiyo, ninyi wachungaji, lisikieni neno la bwana:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, enyi wachungaji, lisikieni neno la BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Basi, sikieni vizuri neno langu mimi Mwenyezi-Mungu, enyi wachungaji:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo, ninyi wachungaji lisikieni neno la Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, enyi wachungaji, lisikieni neno la BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, musikie vizuri neno la Yawe, enyi wachungaji: