Ezekiel 34:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nyinyi wachungaji, sikieni neno langu mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa hiyo enyi wachungaji, sikieni neno la Mwenyezi Mungu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa sababu hiyo, enyi wachungaji, lisikieni neno la Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nyinyi wachungaji, sikieni neno langu mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa hiyo enyi wachungaji, sikieni neno la BWANA:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa hiyo enyi wachungaji, sikieni neno la bwana:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa sababu hiyo, enyi wachungaji, lisikieni neno la BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nyinyi wachungaji, sikieni neno langu mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo, ninyi wachungaji, lisikieni neno la Bwana:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa sababu hiyo, enyi wachungaji, lisikieni neno la BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, ninyi wachungaji, musikie neno la Yawe.