Ezekiel 35:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uambie kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Mimi napambana nawe, ee mlima Seiri. Ninanyosha mkono wangu dhidi yako na kukufanya uwe jangwa na ukiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na useme: ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: Mimi ni kinyume nawe, ee Mlima Seiri, nami nitanyoosha mkono wangu dhidi yako na kukufanya ukiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
uuambie, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, Ee mlima Seiri, nami nitaunyosha mkono wangu juu yako, nami nitakufanya kuwa ukiwa na ajabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uambie kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Mimi napambana nawe, ee mlima Seiri. Ninanyosha mkono wangu dhidi yako na kukufanya uwe jangwa na ukiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na useme: ‘Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Mimi ni kinyume nawe, Ee mlima Seiri, nami nitanyosha mkono wangu dhidi yako na kukufanya ukiwa na usiyekaliwa na watu wala kulimika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na useme: ‘Hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: Mimi ni kinyume nawe, ee mlima Seiri, nami nitanyoosha mkono wangu dhidi yako na kukufanya ukiwa na usiyekaliwa na watu wala kulimika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
uuambie, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, Ee mlima Seiri, nami nitaunyosha mkono wangu juu yako, nami nitakufanya kuwa ukiwa na ajabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uambie kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Mimi napambana nawe, ee mlima Seiri. Ninanyosha mkono wangu dhidi yako na kukufanya uwe jangwa na ukiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Iambie: Hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyosema: Utaniona, nikikujia, mlima wa Seiri; nitakukunjulia mkono wangu, nikugeuze kuwa mapori yaliyo peke yao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
uuambie, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, Ee mlima Seiri, nami nitaunyosha mkono wangu juu yako, nami nitakufanya kuwa ukiwa na ajabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaambie kwamba: Bwana wetu Yawe anasema hivi: Mimi ninapingana nawe, ee mulima Seiri. Ninanyoosha mukono wangu juu yako na kukufanya ukuwe jangwa na ukiwa.