Ezekiel 35:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitajaza milima yako watu waliouawa; na katika vilima vyako na mabonde yako na magenge yako yote watakuwako waliouawa kwa upanga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaijaza milima yenu kwa watu wake waliouawa, wale waliouawa kwa upanga wataanguka juu ya vilima vyako na katika mabonde yako na katika makorongo yako yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitaijaza milima yake watu wake waliouawa; katika milima yako, na katika mabonde yako, na katika mifereji yako ya maji yote, wataanguka wao watakaouawa kwa upanga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitajaza milima yako watu waliouawa; na katika vilima vyako na mabonde yako na magenge yako yote watakuwako waliouawa kwa upanga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitaijaza milima yenu kwa watu wake waliouawa, wale waliouawa kwa upanga wataanguka juu ya vilima vyako na katika mabonde yako na katika makorongo yako yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaijaza milima yenu kwa watu wake waliouawa, wale waliouawa kwa upanga wataanguka juu ya vilima vyako na katika mabonde yako na katika makorongo yako yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitaijaza milima yake watu wake waliouawa; katika milima yako, na katika mabonde yako, na mito yako yote, wataanguka wao watakaouawa kwa upanga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitajaza milima yako watu waliouawa; na katika vilima vyako na mabonde yako na magenge yako yote watakuwako waliouawa kwa upanga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Milima yao nitaijaza mizoga yao waliouawa, katika vilima vyako na katika mabonde yako na katika makorongo lyako yote wataanguka waliouawa na panga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitaijaza milima yake watu wake waliouawa; katika milima yako, na katika mabonde yako, na katika mifereji yako ya maji yote, wataanguka wao watakaouawa kwa upanga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitajaza milima yako watu waliouawa; na katika vilima vyako na mabonde yako na mitelemuko yako yote kutakuwa watu waliouawa kwa upanga.