Ezekiel 36:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli nitawazidisha sana. Miji itakaliwa, na magofu yatajengwa upya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nami nitaizidisha idadi ya watu kwenu, naam, nyumba yote ya Israeli. Miji itakaliwa na watu na magofu yatajengwa upya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitaongeza watu juu yenu, nyumba yote ya Israeli, naam, yote pia; nayo miji itakaliwa na watu, na mahali palipoharibika patajengwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli nitawazidisha sana. Miji itakaliwa, na magofu yatajengwa upya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nami nitaizidisha idadi ya watu kwenu, naam, nyumba yote ya Israeli. Miji itakaliwa na watu na magofu yatajengwa upya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nami nitaizidisha idadi ya watu kwenu, naam, nyumba yote ya Israeli. Miji itakaliwa na watu na magofu yatajengwa upya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitaongeza watu juu yenu, nyumba yote ya Israeli, naam, yote pia; nayo miji itakaliwa na watu, na mahali palipoharibika patajengwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli nitawazidisha sana. Miji itakaliwa, na magofu yatajengwa upya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata watu wengi nitawakalisha kwenu wa milango yote pia ya Isiraeli, miji yao ikaliwe tena, nayo mabomoko yajengwe tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitaongeza watu juu yenu, nyumba yote ya Israeli, naam, yote pia; nayo miji itakaliwa na watu, na mahali palipoharibika patajengwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawazidisha sana Waisraeli. Miji itakaliwa, na mabomoko yatajengwa upya.