Ezekiel 36:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawafanya watu wangu Israeli watembee juu yenu. Nanyi mtakuwa milki yao, wala hamtawafanya tena wafiwe na watoto wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawafanya watu, watu wangu Israeli, kuishi juu yenu. Watawamiliki ninyi, nanyi mtakuwa urithi wao; hamtawaondolea tena watoto wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, nitaleta watu watembee juu yenu, naam, watu wangu Israeli; nao watakumiliki, nawe utakuwa urithi wao, wala hutawafisha watoto wao tena tangu leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawafanya watu wangu Israeli watembee juu yenu. Nanyi mtakuwa milki yao, wala hamtawafanya tena wafiwe na watoto wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawafanya watu, watu wangu Israeli, kutembea juu yenu. Watawamiliki ninyi, nanyi mtakuwa urithi wao, kamwe hamtawaondolea tena watoto wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawafanya watu, watu wangu Israeli, kutembea juu yenu. Watawamiliki ninyi, nanyi mtakuwa urithi wao, kamwe hamtawaondolea tena watoto wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, nitaleta watu watembee juu yenu, naam, watu wangu Israeli; nao watakumiliki, nawe utakuwa urithi wao, wala hutawaua watoto wao tena tangu leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawafanya watu wangu Israeli watembee juu yenu. Nanyi mtakuwa milki yao, wala hamtawafanya tena wafiwe na watoto wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenu nitawatembeza tena walio ukoo wangu wa Isiraeli, wawachukue, mwe tena fungu lao; hamtawaua tena wana wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, nitaleta watu watembee juu yenu, naam, watu wangu Israeli; nao watakumiliki, nawe utakuwa urithi wao, wala hutawafisha watoto wao tena tangu leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawafanya watu wangu Waisraeli watembee juu yenu. Nanyi mutakuwa urizi wao, wala hamutawafanya tena wakufiwe na watoto wao.