Ezekiel 36:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, sasa hamtakula tena watu wala kupokonya taifa lenu watoto wake. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa hiyo hutakula tena watu wala kulifanya tena taifa lako lisiwe na watoto, asema Bwana Mungu Mwenyezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi hutakula watu tena, wala hutafisha watu wa taifa lako tena, asema Bwana MUNGU;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, sasa hamtakula tena watu wala kupokonya taifa lenu watoto wake. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa hiyo hutakula tena watu wala kulifanya tena taifa lako lisiwe na watoto, asema BWANA Mwenyezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa hiyo hutakula tena watu wala kulifanya tena taifa lako lisiwe na watoto, asema bwana Mwenyezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi hutakula watu tena, wala hatuna watoto wa taifa lako tena, asema Bwana MUNGU;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, sasa hamtakula tena watu wala kupokonya taifa lenu watoto wake. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa hiyo hutakula mtu tena, wala hutawaua tena watoto wa kwako; ndivyo, asemavyo Bwana Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi hutakula watu tena, wala hutafisha watu wa taifa lako tena, asema Bwana MUNGU;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, sasa hamutakula tena watu wala kuteketezea taifa lenu watoto wake.