Ezekiel 36:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawaondoa nyinyi katika kila taifa na kuwakusanya kutoka nchi zote za kigeni; nitawarudisha katika nchi yenu wenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kwa kuwa nitawaondoa ninyi toka mataifa, nitawakusanya kutoka nchi zote na kuwarejesha nchi yenu wenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana nitawatwaa kati ya mataifa, nami nitawakusanya na kuwatoa katika nchi zote, na kuwarudisha katika nchi yenu wenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawaondoa nyinyi katika kila taifa na kuwakusanya kutoka nchi zote za kigeni; nitawarudisha katika nchi yenu wenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kwa kuwa nitawaondoa ninyi toka katika mataifa, nitawakusanya kutoka katika nchi zote na kuwarudisha kwenye nchi yenu wenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kwa kuwa nitawaondoa ninyi toka mataifa, nitawakusanya kutoka nchi zote na kuwarudisha kwenye nchi yenu wenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana nitawatwaa kati ya mataifa, nami nitawakusanya na kuwatoa katika nchi zote, na kuwarudisha katika nchi yenu wenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawaondoa nyinyi katika kila taifa na kuwakusanya kutoka nchi zote za kigeni; nitawarudisha katika nchi yenu wenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitawachukua kwenye wamizimu nikiwakusanya na kuwatoa katika hizo nchi, niwarudishe katika nchi yenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana nitawatwaa kati ya mataifa, nami nitawakusanya na kuwatoa katika nchi zote, na kuwarudisha katika nchi yenu wenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawaondoa ninyi katika kila taifa na kuwakusanya kutoka inchi zote za kigeni; nitawarudisha katika inchi yenu wenyewe.