Ezekiel 36:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawanyunyizia maji safi, nanyi mtatakata uchafu wenu wote na sanamu za miungu yenu yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawanyunyizia maji safi, nanyi mtakuwa safi, nitawatakasa kutoka uchafu wenu wote na kutoka sanamu zenu zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitawanyunyizia maji safi, nanyi mtakuwa safi; nitawatakaseni na uchafu wenu wote, na vinyago vyenu vyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawanyunyizia maji safi, nanyi mtatakata uchafu wenu wote na sanamu za miungu yenu yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawanyunyizia maji safi, nanyi mtakuwa safi, nitawatakasa kutoka katika uchafu wenu wote na kutoka katika sanamu zenu zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawanyunyizia maji safi, nanyi mtakuwa safi, nitawatakasa kutoka uchafu wenu wote na kutoka sanamu zenu zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitawanyunyizia maji safi, nanyi mtakuwa safi; nitawatakaseni na uchafu wenu wote, na vinyago vyenu vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawanyunyizia maji safi, nanyi mtatakata uchafu wenu wote na sanamu za miungu yenu yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nitawanyunyizia maji safi, ndipo, mtakapokuwa mmesafishwa; nitawasafisha, yawaondokee makosa yenu yote nayo magogo yenu yote, mliyoyatambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitawanyunyizia maji safi, nanyi mtakuwa safi; nitawatakaseni na uchafu wenu wote, na vinyago vyenu vyote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawanyunyizia maji safi, nanyi mutakuwa safi. Nitawatakasa toka uchafu wenu wote na toka uchafu wa sanamu za miungu yenu yote.