Ezekiel 36:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawaokoa kutoka uchafu wenu wote. Nitaiamuru ngano iongezeke, wala sitawaletea njaa tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawaokoa ninyi kutoka unajisi wenu wote. Nitaiita nafaka na kuiongeza iwe nyingi sana nami sitaleta njaa juu yenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitawaokoeni na uchafu wenu wote; nitaiita ngano, na kuiongeza, wala sitaweka njaa juu yenu tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawaokoa kutoka uchafu wenu wote. Nitaiamuru ngano iongezeke, wala sitawaletea njaa tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawaokoa ninyi kutoka katika unajisi wenu wote. Nitaiita nafaka na kuiongeza iwe nyingi sana nami sitaleta njaa juu yenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawaokoa ninyi kutoka unajisi wenu wote. Nitaiita nafaka na kuiongeza iwe nyingi sana nami sitaleta njaa juu yenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitawaokoeni na uchafu wenu wote; nitaiamuru ngano iongezeke, wala sitawaletea njaa tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawaokoa kutoka uchafu wenu wote. Nitaiamuru ngano iongezeke, wala sitawaletea njaa tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nitawaokoa katika machafu yenu yote, kisha nitaziita ngano, nizizidishe kuwa nyingi, sitaleta tena njaa kwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitawaokoeni na uchafu wenu wote; nitaiita ngano, na kuiongeza, wala sitaweka njaa juu yenu tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawaokoa kutoka uchafu wenu wote. Nitaiamuru ngano iongezeke, wala sitawaletea njaa tena.