Ezekiel 36:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitayazidisha matunda ya miti na mazao ya mashamba ili msiaibike tena kwa njaa kati ya mataifa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaongeza matunda ya miti na mazao ya mashamba, ili msipate tena aibu miongoni mwa mataifa kwa ajili ya njaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitazidisha matunda ya miti, na mazao ya mashamba, msipate tena kutukanwa na mataifa kwa sababu ya njaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitayazidisha matunda ya miti na mazao ya mashamba ili msiaibike tena kwa njaa kati ya mataifa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitaongeza matunda ya miti na mazao ya mashamba, ili kwamba msipate tena aibu miongoni mwa mataifa kwa ajili ya njaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaongeza matunda ya miti na mazao ya mashamba, ili kwamba msipate tena aibu miongoni mwa mataifa kwa ajili ya njaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitazidisha matunda ya miti, na mazao ya mashamba, msipate tena kutukanwa na mataifa kwa sababu ya njaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitayazidisha matunda ya miti na mazao ya mashamba ili msiaibike tena kwa njaa kati ya mataifa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo matunda ya miti nitayazidisha kuwa mengi nayo mazao ya mashamba, kusudi msitiwe soni tena kwa wamizimu mkipatwa na njaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitazidisha matunda ya miti, na mazao ya mashamba, msipate tena kutukanwa na mataifa kwa sababu ya njaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitayazidisha matunda ya miti na mazao ya mashamba kusudi musizarauliwe tena kwa ajili ya njaa kati ya mataifa.