Ezekiel 36:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nchi iliyokuwa jangwa italimwa tena, hata atakayepita huko hataiona kuwa jangwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nchi iliyokuwa ukiwa italimwa badala ya kukaa ukiwa machoni mwa wale wote wanaopita ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nchi iliyokuwa ukiwa italimwa, ijapokuwa ilikuwa ukiwa mbele ya macho ya watu wote waliopita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nchi iliyokuwa jangwa italimwa tena, hata atakayepita huko hataiona kuwa jangwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nchi iliyokuwa ukiwa italimwa badala ya kukaa ukiwa machoni mwa wale wote wanaopita ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nchi iliyokuwa ukiwa italimwa badala ya kukaa ukiwa machoni mwa wale wote wanaopita ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nchi iliyokuwa ukiwa italimwa, ijapokuwa ilikuwa ukiwa mbele ya macho ya watu wote waliopita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nchi iliyokuwa jangwa italimwa tena, hata atakayepita huko hataiona kuwa jangwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo nchi iliyokuwa majani tu italimwa hapohapo palipokuwa mapori matupu machoni pao wote waliopapita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nchi iliyokuwa ukiwa italimwa, ijapokuwa ilikuwa ukiwa mbele ya macho ya watu wote waliopita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inchi iliyokuwa jangwa italimwa tena, hata atakayepita huko hataiona kuwa jangwa.