Ezekiel 36:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi niko upande wenu, nitahakikisha kuwa mnalimwa na kupandwa mbegu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi ninawajibika nanyi na nitawaangalia kwa upendeleo, mtalimwa na kupandwa mbegu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana, tazama, mimi nasimama upande wenu, nami nitawaelekea, nanyi mtalimwa na kupandwa mbegu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi niko upande wenu, nitahakikisha kuwa mnalimwa na kupandwa mbegu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi ninawajibika nanyi na nitawaangalia kwa upendeleo, mtalimwa na kupandwa mbegu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi ninawajibika nanyi na nitawaangalia kwa upendeleo, mtalimwa na kupandwa mbegu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana, tazama, mimi nasimama upande wenu, nami nitawaelekea, nanyi mtalimwa na kupandwa mbegu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi niko upande wenu, nitahakikisha kuwa mnalimwa na kupandwa mbegu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mtaniona, nikija kwenu na kuwageukia, mpate kulimwa na kupandwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana, tazama, mimi nasimama upande wenu, nami nitawaelekea, nanyi mtalimwa na kupandwa mbegu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi niko upande wenu, nitahakikisha kuwa udongo wenu utalimwa na kupandwa mbegu.