Ezekiel 37:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nanyi, enyi watu wangu, mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu nitakapofunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo ninyi watu wangu, mtajua kuwa Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, nitakapoyafunua makaburi yenu na kuwatoa humo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi Bwana, nitakapoyafunua makaburi yenu, na kuwatoa ninyi katika makaburi yenu, enyi watu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nanyi, enyi watu wangu, mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu nitakapofunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo ninyi watu wangu, mtakapojua kuwa Mimi ndimi BWANA, nitakapoyafunua makaburi yenu na kuwatoa humo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo ninyi watu wangu, mtakapojua kuwa Mimi ndimi bwana, nitakapoyafunua makaburi yenu na kuwatoa humo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, nitakapoyafunua makaburi yenu, na kuwatoa ninyi katika makaburi yenu, enyi watu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nanyi, enyi watu wangu, mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu nitakapofunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mtakapojua, ya kuwa mimi ni Bwana, nitakapoyafunua makaburi yenu na kuwatoa mle makaburini mwenu ninyi mlio ukoo wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, nitakapoyafunua makaburi yenu, na kuwatoa ninyi katika makaburi yenu, enyi watu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nanyi, enyi watu wangu, mutatambua kwamba mimi ni Yawe nitakapofunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka ndani ya makaburi yenu.