Ezekiel 37:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu vichukue vijiti hivyo na kuvishikamanisha ili vionekane kama kijiti kimoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ziunganishe pamoja kuwa fimbo moja ili ziwe fimbo moja katika mkono wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ukaviunge pamoja kwa ajili yako hiki na hiki viwe kijiti kimoja, viwe kimoja katika mkono wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu vichukue vijiti hivyo na kuvishikamanisha ili vionekane kama kijiti kimoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ziunganishe pamoja kuwa fimbo moja ili kwamba ziwe fimbo moja katika mkono wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ziunganishe pamoja kuwa fimbo moja ili kwamba ziwe fimbo moja katika mkono wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ukaviunge pamoja kwa ajili yako hiki na hiki viwe kijiti kimoja, viwe kimoja katika mkono wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu vichukue vijiti hivyo na kuvishikamanisha ili vionekane kama kijiti kimoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha vibandike kimoja kwa mwenziwe, vishikamane kuwa kwako kijiti kimoja tu, hivyo viwili viwe kimoja kabisa mkononi mwako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ukaviunge pamoja kwa ajili yako hiki na hiki viwe kijiti kimoja, viwe kimoja katika mkono wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu uvitwae vijiti hivyo na kuvishikamanisha kusudi vionekane kama kijiti kimoja.