Ezekiel 37:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nayo mataifa yatatambua kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, nimewatakasa Waisraeli na kwamba maskani yangu ipo kati yao milele.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo mataifa watajua kuwa Mimi Mwenyezi Mungu ndiye ninayeifanya Israeli kuwa takatifu, wakati mahali patakatifu pangu patakuwa miongoni mwao milele.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mataifa watajua ya kuwa mimi ndimi Bwana, mimi niwatakasaye Israeli, patakatifu pangu patakapokuwa katikati yao milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nayo mataifa yatatambua kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, nimewatakasa Waisraeli na kwamba maskani yangu ipo kati yao milele.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo mataifa watakapojua kwamba Mimi BWANA ndiye ninayeifanya Israeli kuwa takatifu, wakati mahali patakatifu pangu patakapokuwa miongoni mwao milele.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo mataifa watakapojua kwamba Mimi bwana ndiye ninayeifanya Israeli kuwa takatifu, wakati mahali patakatifu pangu patakapokuwa miongoni mwao milele.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mataifa watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, mimi niwatakasaye Israeli, patakatifu pangu patakapokuwa katikati yao milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nayo mataifa yatatambua kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, nimewatakasa Waisraeli na kwamba maskani yangu ipo kati yao milele.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wamizimu watakapojua, ya kuwa mimi Bwana ndiye anayewatakasa Waisiraeli, Patakatifu pangu patakapokuwa katikati yao kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mataifa watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, mimi niwatakasaye Israeli, patakatifu pangu patakapokuwa katikati yao milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nayo mataifa yatatambua kwamba mimi Yawe, nimewatakasa Waisraeli na kwamba hekalu langu liko kati yao milele.