Ezekiel 37:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilitazama, nikaona ile mifupa imewekewa mishipa na nyama na kufunikwa kwa ngozi. Lakini haikuwa na uhai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikatazama: mishipa na nyama vikatokea juu ya mifupa na ngozi ikaifunika, lakini haikuwa na pumzi ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikatazama, kumbe! Kulikuwa na mishipa juu yake, nyama ikatokea juu yake, ngozi ikaifunika juu yake; lakini haikuwamo pumzi ndani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilitazama, nikaona ile mifupa imewekewa mishipa na nyama na kufunikwa kwa ngozi. Lakini haikuwa na uhai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikatazama, mishipa na nyama vikatokea juu ya mifupa na ngozi ikaifunika, lakini hapakuwepo pumzi ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikatazama, mishipa na nyama vikatokea juu ya mifupa na ngozi ikaifunika, lakini hapakuwepo pumzi ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikatazama, kumbe! Kulikuwa na mishipa juu yake, nyama ikatokea juu yake, ngozi ikaifunika juu yake; lakini haikuwemo pumzi ndani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilitazama, nikaona ile mifupa imewekewa mishipa na nyama na kufunikwa kwa ngozi. Lakini haikuwa na uhai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipotazama, nikaona kwao mishipa, nazo nyama zikaja kuwa juu yao, kisha ngozi zikazifunika pande za juu, lakini pumzi hazikuwamo mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikatazama, kumbe! Kulikuwa na mishipa juu yake, nyama ikatokea juu yake, ngozi ikaifunika juu yake; lakini haikuwamo pumzi ndani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niliangalia, nikaona ile mifupa imewekewa mishipa na nyama na kufunikwa kwa ngozi. Lakini haikukuwa na uzima.